Polisi Mtwara Wamshikilia Mwanaume Aliyejikata ‘Nyeti Zake’ – Video

Karimu M. Mshamu

Polisi Mtwara wanamshikilia Karimu M. Mshamu (35) ambae video yake inasambaa akiwa ameshikilia kipisi cha sehemu ya uume wake akidai ameamua kuukata ili kumtumikia Mungu na kujipesha na zinaa, tukio hilo limetokea katika kijiji cha Kitangari Newala, Mtwara.


Loading...

Toa comment