The House of Favourite Newspapers

Polisi Mwanza ‘Walivyoua’ Majambazi 8, RPC Afunguka – VIDEO

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limefanikiwa kuwaua majambazi nane wilayani Ukerewe Mwanza baada ya kupambana na majambazi hao huku wawili wakisadikika kutoroka.

Tukio hilo limetokea Usiku wa kuamkia leo Jumamosi katika Visiwa vya Ukerewe Mwanza

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza,  Jonathan Shana ametoa wito kwa jamii kujiepusha na vitendo vya uhalifu kwani Jeshi hilo limejipanga kukabiliana na watu wanaofanya uhalifu katika kila eneo la Mkoa wa Mwanza.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.