The House of Favourite Newspapers

Polisi Yatoa taarifa kuhusu kupatikana kwa mtoto Merysiana Melkzedeck

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa taarifa kuhusu kupatikana kwa mtoto Merysiana Melkzedeck mwenye umri wa miezi saba, ambaye alitekwa na watu wasiojulikana waliovamia nyumbani kwa wazazi wake na kufanya uhalifu mkubwa, ikiwa ni pamoja na wizi wa gari na mali nyingine pamoja na kuwatumbukiza wazazi wake kwenye mashimo ya vyoo.

RAIS SAMIA ASHTUKIA MADUDU YALIYOTAKA KUINGIZA HASARA ya BIL 200 – ”TRA MCHUKUE HATUA KALI”…