The House of Favourite Newspapers

Polisi Yawatawanya Wafuasi wa Chadema Kisutu – Video

0

Wafuasi wa chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA wamejikuta wakitiwa mikononi mwa polisi baada ya kupewa amri ya kuondoka eneo la mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambao walikuwa eneo hilo kwaajili ya kushuhudia hukumu ya vigogo CHADEMA na kukaidi amri hiyo.

 

Vurugu zimejitokeza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya polisi kuwazuia watu waliokuwa wakitaka kuingia ndani ya chumba cha mahakama ili kusubiri muda ambao hukumu ya kesi inayowakabili viongozi wa Chadema utatolewa.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Leave A Reply