The House of Favourite Newspapers

Polisi, Yono Watanda Majembe Auction Mart

0

1.Hali ilivyokuwa nje ya kampuni hiyo ya Majembe auction mart.Hali ilivyokuwa nje ya Makao Makuu ya Kampuni ya Majembe Auction Mart jijini Dar.

2.Jengo la Majembe auction mart lililopo eneo la Mikocheni.Jengo la Majembe Auction Mart lililopo eneo la Mikocheni, Dar es Salaam.

3.Ulinzi ukiwa umeimalishwa vya kutosha eneo hilo.Ulinzi ukiwa umeimarishwa nje ya Makao Makuu ya Majembe Auction Mart , Dar.

4.Moja ya gari lililodaiwa kuwa wa Kampuni ya Yono Auction Mart likiwa limetolewa upepo kwenye taili baada ya wahusika kutoweka eneo hilo.Moja ya gari lililodaiwa kuwa wa Kampuni ya Yono Auction Mart likiwa limetolewa upepo kwenye matairi yote baada ya wahusika kutoweka eneo hilo.

5.Taswila ilivyokuwa.Taswira ilivyokuwa eneo hilo.

Kampuni mbili zinazojishughulisha na udalali na kudai madeni nchini, Majembe Auction Mart na Yono Auction Mart zilijikuta zikivaana ana kwa ana Makao Makuu ya Majembe, Mikocheni B jijini Dar na wafanyakazi kusambaratika baada ya kuzuka mzozo uliosababisha polisi kufika na kuanza kupiga mabomu ya machozi baada ya pande mbili hizo kutoelewana, hakuna upande uliopatikana kuzungumzia mzozo huo.

Haikuweza kujulikana mara moja kiini cha sakata hilo, hata hivyo,  Global TV ilibaki ikifuatilia. Kwa habari zaidi tembelea  mtandao wetu huo wa Global TV ONLINE kujua zaidi.

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply