Pombe Za Johari Ilikuwa Stresi

 

JOHARI amefunguka kuwa pombe alizokuwa akinywa zilikuwa zikichangiwa na msongo wa mawazo.

Johari ameliambia Spoti Xtra kuwa kutokana na ugumu wa kazi za filamu kwa hivi sasa lazima mtu uchanganyikiwe nini kifanyike ili filamu zisife.

“Wakati mwingine nilikuwa nakunywa pombe sana kwa ajili ya msongo wa mawazo lakini niliona sio suluhisho kunywa pombe,” alisema Johari.

 

STORI NA IMELDA MTEMA | SPOTI XTRA

Rais wa Rwanda, Paul Kagame Alivyopokelewa na Rais Magufuli

Loading...

Toa comment