Povu la STEVE kwa Wasanii “Mtazikwa na Manispaa” – Video

Msanii na Mchekeshaji Maarufu Nchini Steve Nyerere amewashukuru mashabiki waliojitokeza uwanja wa Taifa kuishabikia Taimu yas Taifa, Taifa Stars na kupelekea kupata ushindi katika mechi ya Stars dhidi ya Burundi.

Steve amaeyasema hayo wakatika kamati ya hamasa ya Taifa Stars ilipokuwa ikizungumza na waandishi wa habari baada ya matokeo mazuri katika mechi hiyo huku akiwasihi wasanii wenzake kuwa wazalendo na kuweka kipaumbele katika mambo yanayohusu Taifa.


Loading...

Toa comment