Manchester City wapigwa na Stoke City bao 2-0
Mshambuliaji wa Stoke City Marko Arnautovic (kulia) akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya saba kipindi cha kwanza katika Uwanja wa Britannia Stadium.
Arnautovic akifunga bao la pili dakika ya 15 kipindi cha kwanza.
…Akishangilia
Wachezaji wa Man City wakiwa hoi baada ya kufungwa bao la pili.
Stoke City (4-2-3-1): Butland; Johnson, Shawcross, Wollscheid, Pieters; Cameron, Whelan; Shaqiri, Afellay, Arnautovic; Bojan
Subs: Joselu, Wilson, Van Ginkel, Adam, Diouf, Walters, Haugaard
Manchester City (4-2-3-1): Hart; Sagna, Otamendi, Demichelis, Kolarov; Fernando, Fernandinho; De Bruyne, Silva, Sterling; Bony
Subs: Caballero, Navas, Iheanacho, Delph, M Garcia, Clichy, Humphreys