The House of Favourite Newspapers
gunners X

Pretty Alia Na Wanaomse-Ngenya Kwa Mavazi

0

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ ameibuka na kulia na watu wanaomsengenya na kumsema vibaya kisa mavazi yake.

Akizungumza na Amani, Pretty alisema anaumizwa sana na watu wanamsema kanisani kuwa anavaa nguo za kubana na fupi jambo ambalo siyo kweli kwani tangu ameokoka amebadilika na anavaa nguo za kiheshima.

“Naomba niseme kuwa Mungu anaangalia moyo wa mtu na siyo mavazi kama wengi wanavyonihukumu, naruhusiwa kuvaa nguo yoyote ilimradi nisimkosee Mungu wangu, mnaonisema na kunisengenya kila kona Mungu anawaona, nimebadilika sana siku hizi mbona,” alisema Pretty Kind.

Leave A Reply