The House of Favourite Newspapers

Prof. Chiza Akabidhiwa Hati ya Ushindi Ubunge Buyungu

MBUNGE mteule wa Jimbo la Buyungu, Kakonko mkoani Kigoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Christopher Chiza Kajoro aamepokea hati ya ushindi huo baada ya kutangazwa mshindi kwa kupata kura 24,578 huku Elia Michael wa Chadema akipata kura 16,910 katika uchaguzi mdogo uliyofanyika jimboni humo jana Jumapili, Agosti 12, 2018.

Comments are closed.