The House of Favourite Newspapers

Prof. Palamagamba Kabudi Amwaga Madini Bungeni

0

DODOMA: Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi jana alitoa somo kali (madini) kwa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Mjini Dodoma.

Pro. Kabudi alieleza masuala mbalimbali yanayohusu sheria ya Tanzania huku Wabunge Mashuhuri wanaoaminika kwa kuifahamu vyema sheria wakibaki midomo wazi na kutulia tuli wakati waziri huyo alipokuwa akitoa elimu hiyo ya muhimu kwa mustakabali wa Taifa.

Profesa huyo wa sheria aliyasema hayo baada ya majadiano ya Bajeti ya Wizara hiyo ambapo aliwataka wabunge hasa wanasheria kuwa na nidhamu kutokana na taaluma yao

FUATILIA ALICHOKIZUNGUMZA PROF. KABUDI

Leave A Reply