Profesa Jay, Ferouz Wasepa na Kijiji Wasafi Festival – Video

Rapper na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’  akitoa burudani katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 jijini Dar katika Viwanja vya Posta Kijitonyama.

Umati wa mashabiki wakiendelea kupata burudani.

Msanii wa Bongo Ferouz (kulia) akiwa Profesa Jay.

Juma Nature akiongea na mashabiki.

Msanii Mh. Temba akiongea na umati wa mashabiki

USIKU wa kuamkia leo Novemba 10, 2019 wamefanya shoo ya aina yake katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 jijini Dar katika Viwanja vya Posta Kijitonyama.

Toa comment