Professor Jay, Victoria Kimani Wameungana Kuileta ‘Woman’ Video Mpya

 

Mbuge wa Mikumi, ‘Joseph Haule’ maarufu kama Professor Jay ameungana na msanii maarufu toka Kenya Victoria Kimani kwenye wimbo wao mpya kwaajili ya wanawake, ‘Woman’.

 

Kupitia akaunti yake ya instagram ameandika kwamba wimbo huo ni Maalum kwa kuwaenzi WANAWAKE wote Duniani na changamoto wanazopitia kila siku.

 

Video imeongozwa na Msafiri kutoka Kwetu Studio, kwa upande wa audio ameitengeneza Abby Dady.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment