Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kushoto), akimkabidhi seemu ya vifaa vya michezo, Mkuu wa Kikosi Maalum cha Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Rajabu Nyange Bakari, Agosti 25, 2016. Vifaa hovyo ni vya michezo ya ngumi, mpira wa miguu na mpira wa pete. |
Soka likiendelea baina ya Kikosi Maalum na timu ya Magereza
Soka likiendelea baina ya Kikosi Maalum na timu ya Magereza
Soka likiendelea baina ya Kikosi Maalum na timu ya Magereza
Mkuu wa Kikosi Maalum cha Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam, Kamishna
Msaidizi wa Magereza, Rajabu Nyange Bakari. |