The House of Favourite Newspapers

PSPF Yapata Wanachama Zaidi Kupitia Mpango Wa PSS

0

Hili ndilo Banda ambalo Mfuko wa Pensheni wa PSPF walikuwepo kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwaunga wanachama wapya katika mfuko huo kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari PSS.

Mkuu wa Kitengo cha usajili kwa wanachama kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Msafiri Mugaka akitoa maelezo juu ya Mafao mbalimbali yanayotolewa na PSPF

Mmoja wa wanachama wapya waliojiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa Hiari PSS akisoma kwa undani fao la Uzazi

Maseka Kadala Afisa Matekelezo kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Maseka Kadala (Katikati) akijibu swali juu ya Mkopo wa Nyumba na Viwanja kutoka katika mfuko huo.

Afisa Matekelezo kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Penzila Kaisi akiwaelezea watu mbalimbali waliofika katika meza yao huduma bora kwa wateja zitolewazo kutoka katika mfuko huo.

Afisa Mwendeshaji kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Hadji Jamadary (Kushoto) akimkabidhi kadi ya uanachama wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari PSS Bw. Anthony Masha

Baadhi ya watu wakiendelea kupata maelezo yakina kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF na kujiunga na Mpango wa uchangiaji wa hiari PSS

Afisa Msaidizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mohamed Farijallah akitoa maelezo kwa watu mbalimbali waliofika katika sehemu yao

Baadhi ya watu mbalimbali waliofika katika Maonesho ya Airtel Bazar wakiendelea kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia uchangiaji wa Hiari PSS

Angelyn Kombe Afisa Matekelezo Msaidizi kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF akielezea faida za kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari PSS ikiwa ni pamoja na Bima ya Afya ya NHIF kwa gharama nafuu

Mmoja ya watu akipata maelekezo juu ya kujiunga na uanachama wa mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa Hiari PSS

Ma Afisa kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakiendelea na usajili kwa wanachama wapya wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa Hiari PSS


Afisa Mwendeshaji kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Hadji Jamadary akimpiga picha mmoja wa Mwanachama mpya aliyejiunga na Mfuko huo kupitia uchangiaji wa hiari PSS

Afisa Matekelezo kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Albert Feruzi akimwelezea mmoja wa wanachama wapya aliyejiunga na mpango wa uchangiaji wa Hiari Mikopo inayotolewa na Mfuko huo ikiwa ni pamoja na Mkopo wa Elimu,Mkopo wa Mwajiliwa mpya na mikopo mingineyo.

 

 
Leave A Reply