PSPF Yatoa Elimu kwa Wastaafu Zanzibar
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe Nassor Salum Jazira akitowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Jengo la Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano wakimsikiliza mgeni rasmin akifungua mkutano huo na kutowa nasaha zake.
Imetayarishwa na Othman
Mapara.