The House of Favourite Newspapers

“Pumzi Inatokea Mgongoni, Mume Kanikimbia” – Video

0

GLOBAL JAMII WIKI HII tumepata nafasi ya kukutana na Magreth Mwenye umri wa miaka 38 ambaye anatatizo la kukosa nguvu kwa mishipa yake hali iliyosababisha kukaa chini tangu akiwa na umri wa miaka 17.

 

Magreth anasema tatizo hili lilianza kama akijihisi uzito zaidi kwenye mwili wake na mpaka sasa Miguu yake haina uwezo wa kutembea wala Mikono yake haina uwezo Wa kufanya chochote, akipumua pumzi inatokea mgongoni amekuwa ni mtu wa kusidiwa kila kitu ikiwemo hata kugeuza kitandani pale anapokuwa amelala.

 

Magreth anamtoto mmoja anaitwa Angela anaumri Wa miaka 17 anasoma kidato cha pili huku babaa Wa Mtoto huyo amemkimbia kutokana na tatizo alilonalo, mbali na matatizo aliyonayo dadaa huyu ombi lake ni msaada tu Wa wasamaria wema wamsaidie mahitaji ya Mtoto wake aweze kusoma.

 

Leave A Reply