The House of Favourite Newspapers

Q Chief: “Valentine Ya Mwaka Huu Niliamua Kujifunza Kutoka Kwa Wenzangu…”- (Video).

 

Msanii wa Bongo Fleva Q Chief usiku wa jana alikuwa miongoni mwa mastaa waliohudhuria Valentine’s Day Special Party ya msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya.

Camera za Global TV Online zilipata time ya kupiga stori na Q Chief na katika maongezi yetu msanii huyo wa Bongo Fleva alituambia kuwa aliamua kuhudhuria party hiyo ili kujifunza mawili matatu kutoka kwa wenzake.

>> “Nimekuja kuangalia watu wanaopendana, ili na mimi nijifunze jinsi gani ya kupenda zaidi, maana najitahidi sana kupenda lakini return yangu ya mapenzi kwa watu naowapenda inakuwa kama ndogo kidogo…“<< – Q Chief.

Itazame interview nzima ya Q Chief kwenye video niliyokuwekea hapa chini, pia usisahau ku-subscribe kwenye channel yetu ya YouTube; Global Tv Online ama bonyeza hapa ikupeleke moja kwa moja.

Comments are closed.