Queen Darleen Hayo Mambo ya Chumbani Vepe!

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ hivi karibuni aliamua kuanika mambo ya chumbani hadharani na kusababisha watu kuhoji vepe mpaka afanye hivyo.

 

Video ya Queen Darleen ilisambaa kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha akivuta ndevu za mumewe kwa mdomo, jambo ambalo liliwakera wengi na kumtaka ajirekebishe kwani mambo hayo ni ya chumbani na siyo ya kuanika hadharani.

 

“Hayooo mambo ya chumbani inakuwaje unaposti humu? Yaani hii familia ya kina Diamond inapenda sana kiki,” aliandika mdau mmoja.

 

Toa comment