Queen Darleen: Mapenzi Ninayopata, Na-enjoy Sana – Video

MUME wa mwanamuziki, Queen Darleen, anayefahamika kwa jina la Isihack, amezindua rasmi duka lake la Isbah Bumpers iliyopo maeneo ya Sinza Palestina.

 

Queen Darleen naye alikuwepo wakati duka hilo la mumewe likizinduliwa ambapo amepiga stori na Global TV na kufunguka kuhusiana na mambo mbalimbali ikiwemo mwezi mmoja wa ndoa yake.

 

Toa comment