Queen Darleen, Mbosso na TID Waweka Historia Dar – Video

USIKU wa kuamkia leo Novemba 10, 2019 wamefanya shoo ya aina yake katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 jijini Dar katika Viwanja vya Posta Kijitonyama.

Mwanamuziki wa kike kutoka WCB,  Abdul Juma ‘Queen Darleen’ akitoa burudani katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 jijini Dar katika Viwanja vya Posta Kijitonyama.

…Queen Darleen akiongea na mashabiki hawapo pichani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiongea na mashabiki wa Tamasha Wasafi Festival 2019 akiwa na Mameneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale (kulia) na Mkubwa Fella (kushoto).

…Umati wa mashabiki ukimsikiliza mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda (hayupo pichani).

Msanii mbosso akifanya yake.

…Lave lava akiongea na mashabiki (hawapo pichani).

…Wacheza shoo wa Lavalava wakifanya yao stejini.

Msanii mkongwe wa muziki wa BongoFleva, TID akitoa burudani.

…Mashabiki wakiendelea kumuangalia TID

LAVALAVA Amtaja UWOYA LAIVU Stejini, AFUNIKA Balaa WASAFI FESTIVAL

Toa comment