Queen Masanja: Kuolewa Mke Mwenza ni Kazi Sana, Sitamani Kuolewa – Video

Queen Masanja ni mwanamke ambaye amewahi kuwa mke wa Dokta Mwaka kabla ya ndoa yao haijapigwa na kimbunga na kusababisha mvurugano mkubwa amefunguka kupitia kipindi cha Mapito ndani ya Global TV na Global Radio na kuelezea kuwa kuolewa mke mwenza ni kazi sana kwa sababu kuna wakati mwenza wako anapokwenda kwa mwingine ni kazi.
Queen ameeleza zaidi kwamba hawezi kuukumbuka uke mwenza nyakati ambazo alipokuwa na aliyekuwa mume wake Dokta Mwaka.
Queen ameeleza zaidi kwamba kwa sasa hayupo tayari kwa ndoa na hajakumbuka kitu chochote toka kwa Dokta Mwaka.