The House of Favourite Newspapers

Rahma Aliyerejea Kutoka Iraq Anapoishi Mazingira Hayarusu Kuishi Binadamu – Video

0

Mtanzania aliyekuwa amekwama nchini Iraq alikoenda kufanya kazi za ndani, Rahma amesimulia mateso aliyoyapitia kwa kipindi chote alichokuwa nchini humo mpaka aliporejea nchini jana, Agosti 31.

Rahma amefunguka kuhusu mateso aliyokuwa akiyapata kutoka kwa bosi wake na kila kilichoendelea mpaka alipopata upenyo wa kuondoka.

Dada yake na Binti Rahma aliyefahamika kwa jina la Fatma amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Rahma alipokuwa anataka kuondoka nchini hakupendezwa na maamuzi yake na aliamini kuwa utafutaji ni sehemu yoyote.

Leave A Reply