HabariKitaifa Raia Wa China, Aoa Mbongo Avuja Kamati ya Harusi ya Yake Last updated Nov 17, 2019 Share Raia wa China, Jianpo Zhang (kushoto) na mkewe Shamsa Shabani wakipozi katika picha ya pamoja kwenye hafla fupi ya kuwashuru wageni waalikwa waliofanikisha harusi yao. …Jianpo Zhang (kushoto) na mkewe Shamsa Shabani wakipozi katika picha ya pamoja kwenye hafla fup. Ndugu,jamaa na marafiki waliohudhuria hafla fupi ya kushukuru kamati ya maandalizi ya harusi wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea. Jianpo Zhang akitoa neno la shukrani Mama mzazi wa Shamsa Shabani (kushoto) akiwa na shangazi yake Shamsa katika hafla hiyo fupi. Ndugu wa Jianpo Zhang wakitoa neno la shukrani kwa wote waliofanikisha harusi ya mpendwa wao. Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea katika hafla pufi ya kuwashukuru wale wote waliowezesha harusi ya mpendwa wao kufanyika kwa amani. Sehemu ya ndugu wa Jianpo walipokuwa wamekaa kufautilia kilichokuwa kikiendelea kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika Novemba 15, 2019 katika mgahawa wa Breeze Bar & Restaurant uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. China Share
Comments are closed.