The House of Favourite Newspapers

RAIS Aliyefungwa GEREZANI Kwa Ulawiti IKULU – VIDEO

Wakati marais wa nchi nyingi duniani wakishutumiwa kwa mauaji na wengine ubadhirifu wa mali za umma kutokana na utawala wao mbovu kwenye vipindi vyao vya utawala.

Hali ni tofauti kwa aliyekuwa rais wa kwanza wa Zimbabwe, Canaan Banana ambaye alikuja kushangaza ulmwengu baada ya kushutumiwa kuwa na tabia za kuwafanyia ULAWITI viongozi wa Serikali yake.

Comments are closed.