Rais Aliyeishi na Mchepuko IKULU, Akauawa Kwa Misumari Kichwani -Video

Hastings Kamuzu Banda ‘Ngwazi Simba’ alizaliwa Februari 15, 1898 nchini , aliondoka Malawi akiwa mtoto, akarudi akiwa mzee! Alikwenda kutafuta elimu huko Ughaibuni kwa miaka 42, akarudi akiwa babu wa miaka 62.

Ni mtoto wa mzee Mphonongo Banda na Bi. Akupingamnyama Phiri, huyu aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Malawi na baadaye Rais wa nchi hiyo, mwaka 1964 hadi1 mwaka 994.

 

Akiwa rais aliwafanyia kitu kibaya sana mawaziri wake kwa kuwauwa kwa kuwapigilia Misumari kichwani hali iliyompatia sifa mbaya zaidi duniani. Alifariki dunia Novemba 25, 1997, huko Johannesburg, Afrika Kusini.


Loading...

Toa comment