Waziri Atimuliwa Kwa Kufanya Ngono Kwenye Video

RAIS  wa Zambia, Edgar Lungu, amemfukuza kazi Waziri wa Elimu nchini humo, David Mabumba, baada ya kuvuja kwa video ya ngono inayomuonyesha Mabumba ambaye yupo karantini akijamiiana na mwanamke kwa njia ya simu (video call), inadaiwa kuwa mwanamke huyo ni mke wa mtu.

 

Toa comment