The House of Favourite Newspapers

Rais Dk. Samia Azindua Sera Ya Mambo Ya Nje Ya Mwaka 2001 (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali kwenye hafla ya uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 Toleo la Mwaka 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001(TOLEO LA 2024), Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, leo tarehe 19 Mei, 2025.

 

Rais Samia akizindua Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 Toleo la Mwaka 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar.
Rais Samia akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na wageni mbalimbali.