Rais Dkt. Samia Aendelea Kuonesha Kuwajali Wapambanaji,
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha kuwajali Wapambanaji
Kupitia kurasa yake ya instagram, amesoma comments, amejibu, amepongeza na kumuwezesha mmoja kati ya wananchi aliyewasilisha ombi lake kupitia comment yake.