The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt. Samia Afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

RAIS SAMIA AFIKA CHUO CHA POLISI MOSHI – ANASHIRIKI SHEREHE ya MIAKA 60 ya JESHI LA POLISI