The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt. Samia Afungua Skuli Ya Sekondari Bumbwini Misufini (Picha + Video)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akifungua Skuli ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar, leo tarehe 8 Januari, 2025

Rais Dkt. Samia afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Leave A Reply