Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Majaji Wa Mahakama Wa Rufani (Picha +Video)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 22 Januari, 2025
Majaji walio apa ni: Jaji George Mcheche Masaju, Jaji Dkt. Ubena John Agatho, Jaji Dkt. Deo John Nangela, Jaji Latifa Alhinai Mansoor.

