The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt. Samia Alivyozindua Banki Ya Ushirika Tanzania Jijini Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea cheti cha umiliki wa Hisa zake kwenye Benki ya Ushirika Tanzania katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Banki ya Ushirika Tanzania Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, tarehe 28 Aprili, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia akikagua mabanda ya maonesho ya masuala ya kilimo nje ya Ukumbi wa Mikutano Jakaya Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.