The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt. Samia Amuapisha Jaji Mkuu Wa Mahakama Ya Tanzania – (Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akimuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Ikulu Chamwino-Dodoma, leo tarehe 15 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha, Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.
Matukio mbalimbali kwenye hafla ya uapisho wa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Jaji George Mcheche Masaju, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025
Rais Samia akizungumza mara baada ya kumuapisha Jaji George Mcheche.