Rais Dkt. Samia Ashiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 29 Novemba, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 29 Novemba, 2024.