The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt. Samia Atembelea Kanisa La Katoliki Abesia Ya Peramiho Mkoani Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya historia ya Kanisa kutoka kwa Padre Fredrick Mwabena OSB alipotembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watawa wa Shirika la Benedicto wa Tutzing mara baada ya kutembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.
Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Watawa wa Shirika la Benedicto wa Tutzing.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akitembeleakanisa katoliki Abesia Ya Paramiho Mkoani Ruvuma, Septemba 24, 2024.

RAIS SAMIA ASIMAMA – AZUNGUMZA na WANANCHI wa PERAMIHO – RUVUMA – NI KUHUSU MAENDELEO…….