Rais wa Rwanda,Paul Kagame amewasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo na Kupokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Joseph Pombe Magufuli na kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kufanya Mazungumzo.