Rais Magufuli Afanya Mazungumzo Na Rais Wa Afrika Kusini Ikulu Ya Pretoria
RAIS Magufuli leo amekutana na kuzungumza na Mhe. Rais Ramaphosa siku moja baada ya Rais Ramaphosa kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Afrika Kusini, Ikulu Jijini Pretoria.
Rais Ramaphosa ameahidi kudumisha uhusiano wa kihistoria na kidugu na kuchukua walimu wa kufundisha kiswahili kutoka Tanzania.
PICHA NA IKULU
Comments are closed.