RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA

Rais Dkt John Magufuli amemteua Prof Tadeo Andrew Satta Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Wakala Wa Meli Tanzania (TASAC). Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Emmanuel Stephen Ndomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAC.

 

LIVE : Asasi ya Haki Elimu wanazungumza muda huu

Loading...

Toa comment