The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Afanya Uteuzi TIC na Katibu Tawala Morogoro

0

UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Bw. Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

Aidha Rais Magufuli amemteua Clifford Tandari kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro akichukua nafasi ya Dkt. Ndunguru ambaye amestaafu.

 
Leave A Reply