The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Afanya Uteuzi TTCL na Airtel

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mohammed Abdallah Mtonga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

 

Mtonga anachukua nafasi ya Dkt. Omari Rashid Nundu ambaye ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania.

Comments are closed.