The House of Favourite Newspapers

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini Bella Bird na ujumbe wake walipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini Bella Bird na ujumbe wake walipokutana na kuzungumza Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini Bella Bird  na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2018.

Picha na IKULU

Comments are closed.