The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Akutana na Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala – Pichaz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika kikao kilichowahusisha Wakuu wote wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi, baadhi ya Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu wa baadhi ya Wizara, Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

 

Rais Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Mkuchika, Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na Wakuu wa Mikoa yote mara baada ya kikao chao pamoja na Makatibu Tawala kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Comments are closed.