The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Alivyowaapisha Mawaziri Wapya na Mabalozi Ikulu

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli leo Machi 24, 2017 amewaaapisha; Jaji Stella Esther Mugasha kuwa kamishna wa Tume ya Mahakama, Sylvester Mabumba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Oman, Job Masima kuwa Balozi wa Tanzania nchini Israel, Dkt. Abdallah Possi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na sheria na Dkt Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Pia waapiswa hao walikula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma ambapo tukio hilo lilifanyika mapema leo, katika Ikulu ya Rais jijini Dar es Salaam.

TAZAMA VIDEO VIONGOZI HAO WAKIAPA

Comments are closed.