The House of Favourite Newspapers
gunners X

Rais MAGUFULI Alivyowasili KARIMJEE Kumuaga DKT. MENGI – Video

Rais Dkt. Magufuli ataongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wetu Dkt.  Reginald Mengi. Viongozi wengine walioko hapa ni pamoja na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto), Jaji Mkuu, Prof Ibrahim Juma (kulia).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika ukumbi wa Karimjee, kumuaga Dkt. Reginald Mengi.

Rais MAGUFULI Alivyowasili KARIMJEE Kumuaga MENGI..!

Comments are closed.