The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Amjulia Hali Mama Anna Mkapa Jijini Dar Leo

0
Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe, Mama Janeth Magufuli leo Jumapili Oktoba 18, 2020 wamekwenda kumjulia hali Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili

UJENZI Nyumba ya KIKWETE, MAGUFULI Amvaa MKANDARASI – “HII Sio ya HISANI, ni SHERIA”…

Leave A Reply