Rais Magufuli Ampongeza Rais Mteule wa DRC Congo Felix Tshisekedi

Rais Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi.

Rais Magufuli atuma salamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi kufuatia hukumu iliyotolewa na mahakama ya juu ya nchi hiyo. Pamoja na mambo mengine Rais Magufuli ameahidi kuendeleza historia na udugu baina ya nchi hizo mbili

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Loading...

Toa comment