The House of Favourite Newspapers
gunners X

Rais Magufuli Amteua Mwigulu Kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

0

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Balozi Dkt. Augustine Mahiga ambaye alifariki dunia jana na kuzikwa leo nyumbani kwao mkoni Iringa.

 

Uteuzi huu wa Dkt. Mwigulu umeanza  Mei 2, 2020. Awali Nchemba alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kabla ya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri mnamo Julai mwaka 2018.

Leave A Reply