The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Apokea Utambulisho wa Mabalozi Korea, Ulaya na Parestina

0

MAGUFULI (1)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akipokea Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri  ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016.MAGUFULI (2)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akizungumza na Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu  jijini Dar es salaam leo baada ya kupokea hati zake za  utambulisho.MAGUFULI (3)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) hapa  nchini Mhe. Roeland Van de Greer  Ikulu jijini Dar es salaam leo.MAGUFULI (4)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya hapa nchini Mhe. Roeland Van de  Greer  Ikulu jijini Dar es salaam leo.MAGUFULI (5)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akipokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Palestina hapa nchini Mhe.  Hazem M. Shabat Ikulu jijini Dar es salaam leo.MAGUFULI (6)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph  Magufuli baada ya kupokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Palestina  hapa nchini Mhe. Hazem M. Shabat alifanya naye mazungumzo  Ikulu jijini  Dar es salaam leo.

PICHA NA IKULU.

Leave A Reply