The House of Favourite Newspapers

RAIS MAGUFULI ASALI IBADA KATIKA KANISA KATOLIKI LA MT. PETRO OYSTERBAY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakishiriki Ibada ya Dominika ya Tano ya Pasaka katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Mei 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Ibada ya Dominika ya Tano ya Pasaka katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Mei 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mtoto ambaye ni mmoja wa waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada Kanisani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi mara baada ya Ibada kanisani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro mara baada ya Ibada katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumapili Mei 19, 2019 amesali Ibada ya Dominika ya Tano ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay  jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU

MAGUFULI Alivyowapa TUZO, Mstaafu Kikwete, Mwinyi, Majaliwa!

Comments are closed.